
unavyonipenda - dalian lyrics
Loading...
babaa, unavyonipenda
zaidi ya neema siwezi eleza
na mi hukosa nakiri
vipi unanipenda lakini
zipo siku baba
najiona sikufai
pre*chorus
(moyo nenda pole basi wacha mbio
hujazoea pendwa usipostahili oh
haya ndo mapenzi, haya ndo mapenzi)x2
chorus
unavyonipenda ehh… eiye
unavyonipenda eeh… eiye
nimekupa vijisababu, milioni sio sababu
vya kutonipenda but you never change your mind
na mi hukosa nakiri
vipi unanipenda lakini
zipo siku baba
najiona sikufai
pre*chorus
(moyo nenda pole basi wacha mbio
hujazoea pendwa usipostahili oh
haya ndo mapenzi, haya ndo mapenzi)x2
chorus
unavyonipenda ehh… eiye
unavyonipenda eeh… eiye
Random Song Lyrics :