wakati wa nuhu - dan lukas lyrics
Loading...
one;
lipo lango moja wazi ni lango la mbinguni na wote waingiao watapata nafasi
lango ndiye yesu bwana wote waingie kwake lango lango lango lango la mbinguni li wazi ×2
yesu ndiye lango hili hata sasa li wazi
kwa wakubwa na wadogo tajiri na maskini
×2
yesu ni lango la raha ni lango la rehema
kila mtu apitaye hana machozi tena
×2
tukifika lango hilo tutatua mizigo tuliyobebeshwa kwanza tutavikwa uzima
×2
hima ndugu tuingie lango halijafungwa likifungwa mara moja halitafunguliwa
×4
by ebro jerry tiyane
Random Song Lyrics :
- long goodbye - wolfside lyrics
- i'll go goth - silver sphere lyrics
- o suno suno - lata mangeshkar lyrics
- in your arms (dans tes bras) - nico & vinz lyrics
- torneo local - dënver lyrics
- lo prefieres a él - makano lyrics
- mexican hash - mr. ijah lyrics
- tum ho saath raat bhi hasin hai - lata mangeshkar lyrics
- tavern choir - george jones lyrics
- you learn / you've got a friend - glee cast lyrics