
naogopa - datty tz lyrics
naogopa
(verse 1 datty tz)
mhhh yeiyeee
walionipa maumivu ya mapenzi,sio wa kwanza baba
hawakujali kabisa mateso kuniliza ahaa
nikawa usingizi nakosa kabisa usiku silali
mapenzi ya dhati yakanitesa,furaha ya mapenzi shubiri
(verse 2 amour jj)
usiniweke kwenye maumivu yako,ukanichanganya mama
mimi najali sana mapendo yako,nimeshazama mamaaa
usidhani na mii,ukanifananishe na waleee
minakaupenda moyoni baby,naomba unielewe
pendo lako la thamani kw*ngu
nalitunza kama mboni ya jicho langu
mimi mwenzako nakupenda sana
j*po na wivu kwako mimi pungu
oohhhhh oohh baby uuhhh laalala
(chorus datty tz & amour jj)
minaogopa sana minaogopa baba
minaogopa sana mapenzi hayana dhamana
usiogope mama minakupenda sana
maumivu yale ya nyuma
mapendo yapo kwa mtima
(verse 3 amour jj)
mhhh mhhhhhh
ey kwanza nitatunza siri zako
j*pokuwa huniamini toka moyoni
mhh kwako bado nipo chini yako
niko radhi nitangaze hadharani
(verse 4 datty tz)
unanipa maeneno mazuri,ila wengi mnafanana
kwa kivipi minitakuamini kweli unanipenda sana
nimeshakuweka kwenye maumivu yangu
nimeshalizwa sana
wengi walitesa hisia zangu
walinichanganya sana
(verse 5 amour jj)
na usidhani na mii,ukanifananishe na waleee
minakaupenda moyoni baby,naomba unielewe
pendo lako la thamani kw*ngu
nalitunza kama mboni ya jicho langu
mimi mwenzako nakupenda sana
j*po na wivu kwako mimi pungu
oohhhhh oohh baby uuhhh laalala
(chorus datty tz & amour jj)
minaogopa sana minaogopa baba
minaogopa sana mapenzi hayana dhamana
usiogope mama minakupenda sana
maumivu yale ya nyuma
mapendo yapo kwa mtima
.
Random Song Lyrics :
- alene i mørket - smelchior lyrics
- nada de ti - sólido lyrics
- 灵感(psyche) - capper lyrics
- sei tu - yosh whale lyrics
- girassol - staryxshi lyrics
- conviction - yung tax collector lyrics
- nc-17 - morris the friend lyrics
- hittem up - young chach lyrics
- alone at the club - arsx, 666swish & deekay lyrics
- dylan's dad - geena fontanella lyrics