
varuu - datty tz lyrics
varuu lyrics
aahhh
mwezenu nikilewa ahh nawaza chini
napata ngekewa mi namwaga madini
uyuu demu mchokozi sema unataka nini
nikupe mapesa ama unataka nini
nikuchune chuna pesa ipo we chuna
maana juu safi chini safi
mbele safi je nyuma safi ?
aahhh ila we mtoto wewe
ilo wezere ilaaa unajua nini
varuu ni ufala varuu ahaa
varuu ni ufala varuu ahaa
varuu ni ufala varuu ahaa
varuu ni ufala varuu ahaa
varuu ni ufala varuu ahaa
mi pisi kali nina magari
mambo yangu motomoto nyumba za kifari
sio ulete utani nina hatari
si unajiweza usiogope mwaga dolarii
si unanitaka kweli au maigizo
si unanitaka kweli utaweza kuingiza
kakakaa kakakakak akaa
kakakaa kakakakak akaa
nikuchune chuna pesa ipo we chuna
maana juu safi chini safi
mbele safi je nyuma safi ?
hhaaha ila wanaume wengine wanafosi
kuchunwa ndugu yangu daaah
sema sio kesi, semaa
varuu ni ufala varuu ahaa
varuu ni ufala varuu ahaa
varuu ni ufala varuu ahaa
varuu ni ufala varuu ahaa
varuu ni ufala varuu ahaa
varuu ni ufala varuu ahaa
varuu ni ufala varuu ahaa
varuu ni ufala varuu ahaa
varuu ni ufala varuu ahaa
varuu ni ufala varuu ahaa
kazuu vibess
Random Song Lyrics :
- jesus, no other name (live) - breakaway ministries lyrics
- haunt you - yung van & diskrypt lyrics
- besalama | بالسلامة - houda bondok - حودة بندق lyrics
- unser song - unlucky luke lyrics
- deine stadt - tamino404 lyrics
- benjis - tochi bedford lyrics
- por ti - margarett lyrics
- i love, who? - hayami yu lyrics
- para olvidarte - humbe lyrics
- all about the dough - dj fresh & curren$y lyrics