
i love you - dayoo lyrics
[verse 1]
tulipotoka, babe ni mbali
tunapo kwenda mbali
tumevuka mito, mabahari, mi na weee
na kuna w*nga wasio tukubali
walisema hatutorika mbali
ona mungu katupa kibali, mi na weee
babe, janja janja sina (sina)
mi nime maliza
nimekuwa mtu mzima, nimekuwa!
mmh kona kona sina (sina)
nimeshamaliza (maliza)
saivi najielewa, najijuwa
[chorus]
hata munione zoba
sawa ni sawa ni sawa (aah ah)
hata nkose pesa
nikikuona wewe apo, ni sawa ni sawa
oh baby, l.o.v.e y.o.u
i love you, wee i love you
oh baby, l.o.v.e y.o.u
i love you, wee i love you, ma beibe
[verse 2]
jay once again!
sijui kama mnaona
nadekezwa, ona
najaliwa, ona
penzi limenona
eti kila kona
naicheza ngoma
na busiwa, mwaah! mwaaaaah!
akinitaka, ananiita (baby)
ananiita (honey)
ananiita (sweety)
ananiita
akinitaka, ananiita (baby)
ananiita (honey)
ananiita (sweety)
ananiita baby
ooohoo aahhaaa, ooohoo baby
ooohoo aahhaaa, ooohoo baby
[chorus]
hata munione zoba
sawa ni sawa ni sawa (aah ah)
hata nkose pesa
nikikuona wewe apo, ni sawa ni sawa
oh baby, l.o.v.e y.o.u
i love you, wee i love you
oh baby, l.o.v.e y.o.u
i love you, wee i love you, ma beibe
Random Song Lyrics :
- debiut - mroocheck lyrics
- splendour nigri solis - necrophobic lyrics
- hafuch - הפוך - hapil hakachol - הפיל הכחול lyrics
- somos brabos - sogleab lyrics
- today - kingsmere x lyrics
- i still haven't found what i'm looking for - big daddy lyrics
- surrender - cristal snow lyrics
- november song - life of dillon lyrics
- sem falhas - frontline rap lyrics
- lo sai chi sono - luchè lyrics