wajue - dayoo lyrics
[intro]
oya, ma*feeling
(?)
oya, (?), mh
oh, no
yeah
mmm
[verse 1]
baby, si unak*mbuka mwaka jana?, walitabiri tutaachana,*na
mpaka leo tupo, ‘na bado tupo, tupo sana,*na, walio tabiri tutaachana
ona wao ndio wameachana, na sisi tupo, ‘na karibu tunaoana
[pre*chorus]
tumewapunguza kelele, hawasemi sikuhizi wananong’ona
huku kwetu sherehe, wanakonda sisi tunanona
tumewapunguza kelele, hawasemi sikuhizi wananong’ona
huku kwetu sherehe, wanakonda sisi tunanona
[chorus]
na unajua, upendo wa kweli haupimwi na gari
tambua, maisha yatasonga hata tukikosa wali
mi nataka wajue (eh, eh), we ndio, ‘namba moja
nataka wajue, we ndio, ‘namba moja
nataka wajue (eh, eh), we ndio, ‘namba moja
nataka wajue, we ndio, ‘namba moja
nataka wajue (eh, eh)
[instrumental break]
[verse 2]
ona, ‘na hapa kwenyewe najiona hisia zimefika mbali,*ih
nawaza bila wewe, sa nitaishi na nani,*na
kwa yoyote [?], tutafika mbali, naapa
nitamchinja hadharani, dunia ijue kama natu*
[pre*chorus]
tumewapunguza kelele, hawasemi sikuhizi wananong’ona
huku kwetu sherehe, wanakonda sisi tunanona
tumewapunguza kelele, hawasemi sikuhizi wananong’ona
huku kwetu sherehe, wanakonda sisi tunanona
[chorus]
na unajua, upendo wa kweli haupimwi na gari
tambua, maisha yatasonga hata tukikosa wali
mi nataka wajue (eh, eh), we ndio, ‘namba moja
nataka wajue, we ndio, ‘namba moja
nataka wajue (eh, eh), we ndio, ‘namba moja
nataka wajue, we ndio, ‘namba moja
nataka wajue (eh, eh)
[instrumental outro]
Random Song Lyrics :
- botany bay - indietherapper lyrics
- 8 июня (8 june) - милиан о’войд (milian o'void) lyrics
- w btir - وبطير - ziad bourji - زياد برجي lyrics
- school of divination - major expedition lyrics
- siddharta - the silencers lyrics
- badthiings (rip avicii) - brutalismus 3000 lyrics
- hell ya! - 2face pronto lyrics
- marcha da paridade - bia maria lyrics
- runnin’ - moon sujin (문수진) lyrics
- nine eleven - 2m lyrics