
kamwambie - diamond platnumz lyrics
[chorus]
nenda kamwambie (uh huh)
jinsi navyo mpenda mi (uh huh)
na kama mapenzi bado (uh huh)
mwambie nitayongeza mi
nasema kamwambie (uh huh)
jinsi navyo mpenda mi (uh huh)
na kama mapenzi bado (uh huh)
mwambie nitayongeza mi
[verse 1]
sio ningie mori, nyota, na mbala mwezi
kwa vile mali yake, yeah, yeah
natamani ila tatizo siwezi
huenda ingefanya nielewe (ah, ona)
si alinifunza mapenzi
nilikuwa sijui kamwambie
akanidekeza kishenzi
kwa nyimbo nzuri nimwimbie
[pre*chorus]
so asidanganywe na gari burudani na fedha
mimi akanichukia
akalishusha thamani penzi nalompenda
kisa mvinyo na bia
asidanganywe na gari burudani na fedha
mimi akanichukia
mmmh, mwambie asisike mapenzi
moyo w*ngu unaumia, eh ah
[chorus]
nenda kamwambie (uh huh)
jinsi navyo mpеnda mi (uh huh)
na kama mapenzi bado (uh huh)
mwambie nitayongeza mi
nasеma kamwambie (uh huh)
jinsi navyo mpenda mi (uh huh)
na kama mapenzi bado (uh huh)
mwambie nitayongeza mi
[verse 2]
ah
nasema siku hizi hakuna fungate
mapenzi hayana thamani
hivyo mwambie wanaopenda wachache
wengi wanatamani
ooh, wanaanzaga kwa tafadhali
wakishapewa wanapotea
mmmh, nenda mwambie ajihadhari
na dua njema nawombea
[pre*chorus]
so asidanganywe na gari burudani na fedha
mimi akanichukia
akalishusha thamani penzi nalompenda
kisa mvinyo na bia
asidanganywe na gari burudani na fedha
mimi akanichukia
mmmh, mwambie asisike mapenzi
moyo w*ngu unaumia, eh ah
[middle 8]
kamwambie
kamwambie
kamwambe
kamwambie
kamwambie
kamwambie
kamwambie
kamwambie
[chorus]
nenda kamwambie (uh huh)
(kamwambie)
jinsi navyo mpenda mi (uh huh)
(tena napenda sana)
na kama mapenzi bado (uh huh)
(mmmh, yeah)
mwambie nitayongeza mi
(nitayongeza mama)
nasema kamwambie (uh huh)
(kamwambie)
jinsi navyo mpenda mi (uh huh)
(napenda sana)
na kama mapenzi bado (uh huh)
(mmmh, yeah)
mwambie nitayongeza mi
(nitayongeza mama)
[outro]
yeah
but thanks, bob junior
mr. chocolate flava
sharobaro records
records
records, records
it’s diamond platnumz, baby
yeah
holla back, ladies
it’s time to hang lovely, lovley
Random Song Lyrics :
- young - dbmk lyrics
- "us" - yung d.i. lyrics
- i walk the line - the everly brothers lyrics
- paper hats - branches lyrics
- greenlight - levi darosa lyrics
- our song [demo] - jeff killed john lyrics
- fdrs 2 - bakyl lyrics
- mafia - the guruz lyrics
- tesla (parodia) - daniel magical lyrics
- rise - walk off the earth lyrics