lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nani - diamond platnumz lyrics

Loading...

[instrumental intro]
aiyoo…,oh
zombie we
zombie wewe
oh, zombie, yo
s2kizzy baby

[verse 1]
wanaosema wamekuzidi, wamemzidi who?
labda kuuza vi pipi na nyingi tattoo
si wakuonjwa, k*mezwa labda watemwe, ‘tuu!
wivu, ugonjwa, viendekeza vimeshushuka, ‘shuu!

[verse 2]
we ndio my bolingo, kibinda nkoi
ukinifanyia maringo, aki’ sitoboi
kawe dereva mi utingo, penzi lori
niendeshe kwa maringo tusivamie pori

[pre*chorus]
mi hapo baby yangu mimi, ukivaa kimini
siwezi nyanyuka, aibu ‘natunaga chini
sa utoto ndio nini, kunish*tua injini?
kama unanipa, nipe’ mi sipendi kudundishiwa chini

[chorus]
we bwana we, niende kwa nani asa, niende asa
niende kwa nani asa, niende asa (niende)
niende kwa nani asa, niende asa (niende, niende)
niende kwa nani asa, niende asa
[instrumental break]
lala, lala, lala

[verse 3]
embe dodo, embe dodo, (eh!) limelala mchangani (ah!)
nimeoza si kidogo, niko hoi taabani
iwe huba au virobo (eh!), kazi kwenu kina nyani (ah!)
maana hamnaga dogo, kwani kuna jipya gani?

[hook 1]
we ndio my bolingo, kibinda nkoi
ukinifanyia maringo, aki’ sitoboi
kawe dereva mi utingo, penzi lori
niendeshe kwa maringo tusivamie pori

[hook 2]
mi hapo baby yangu mimi, ukivaa kimini
siwezi nyanyuka, aibu ‘natunaga chini
sa utoto ndio nini, kunish*tua injini?
kama unanipa, nipe’ mi sipendi kudundishiwa chini

[post*chorus]
we bwana we, niende kwa nani asa, niende asa (oh, niende, ndi, ndende)
niende kwa nani asa, niende asa (niende)
niende kwa nani asa, niende asa (oh, eti nikuache wewe)
niende kwa nani asa, niende asa
[instrumental outro]

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...