
niache - diamond platnumz lyrics
[verse 1]
hhhhmm
eti nikuombee mema
na baraka uzidi fanikiwa
siwezi kamwe wala (hhhhmm)
ni sawa na kuiforce sinema
kuitazama na haijanivutia
lazima tu ntalala (oooh)
na kwa barabara ukipita
nenda kulia ukiniona kushoto
sitaki hata tuonane (hhhhmm)
usije wala ukaniita
donda vilia utanchochea tu moto
nisije nkutukane (hhhhmm)
[bridge]
kinachoniumiza nafsi
kunisikitisha kwa watu kujishongondoa
k-mbe mapenzi hisabati wakati nayazidisha
mwenzangu nje unayatoa
wewe cement mimi mchanga
nkasema penzi tujenge lisije loa
najitia mkandarasi naezeka mabati
wewe chini kenchi unabomoa
[chorus]
niache……!
niache……!
niaache……! oh niache
niache……!
nipambane na moyo w-ngu
niache……! (niiaaa….!)
niache……! (moyo w-ngu una hasira)
niaache……! oh niache
niache……!
oooh oh!
[verse 2]
najitahidi nisilale kwenye kitanda
huenda ntapunguza ndoto zako
hhhhmm
mwilini nina machale utadhani mw-nga
yote kuusahau uwepo wako
hhhhmm
laiti kama ningekuwa gari
ningekugonga barabarani
ama nyuki mtoa asali
nkung’ate sura wasiitamani
hivi wewe ungo ulivunja mwali
ama ulivunja sahani
kuniundia mateam kwa mitandao
vijembe vya kazi gani
[bridge]
kinachoniumiza nafsi
kunisikitisha kwa watu kujishongondoa
k-mbe mapenzi hisabati wakati nayazidisha
mwenzangu nje unayatoa
wewe cement mimi mchanga
nkasema penzi tujenge lisije loa
najitia mkandarasi naezeka mabati
wewe chini kenchi unabomoa
[chorus]
niache……! oooh niachee
niache……! (mimi moyo w-ngu una hasira)
niaache……! (tena ukae mbali)
niache……! (oooh niachee)
niache……! (usiwapigie rafiki zangu)
niache……! (usithubutu hata simu yangu)
niaache……! (chonde tafadhali)
niache……! (niiaaa….!)
[outro]
iyoo lizer
hhhhmm
ntakudanganya kwa tabasamu
ntakudangany kwa kucheka
ntakudanganya hata kwa salamu
ila moyoni nakuchukia
nitakudanganya kukufollow
nitakudanganya kucomment
nitakudang-ya kulike picha
ila siwezi kukuzimia
mxiuuuuu
Random Song Lyrics :
- автопилот (autopilot) - 163onmyneck & polyana lyrics
- man beside you - zachary cale lyrics
- ありのまま (arinomama) - sparta (jpn) lyrics
- golden - oliver spalding lyrics
- problème de crack - ak (fra) lyrics
- opus - babyxd lyrics
- be my boy - serpenti lyrics
- all or nothing - floor18 lyrics
- over it by now - young states lyrics
- dime que me quieres - banda el recodo de cruz lizárraga & luis fonsi lyrics