
nakesha - dlovetz lyrics
moyo umekua sugu hadi maumivu yanadunda
siogopi waongo sipokei wakweli mapenzi yamenifunza…
tamu imekua chungu moyo ulifanywa punda
hadi mizigo ya kokoto ikanichosha mwili machozi nikafuta…
sio kama siogopi kuumia tatizo nishaumia sana
mapenzi ya maharamia nikachukia ujana
kuna muda nawaza rudia tatizo nikipenda sana
ndo nafasi wanaitumia kuniumiza mchana
na usiku usingizi sipati
nakesha (usiku nalia bahati sina)
nakesha (bora pombe mapenzi sitaki)
nakesha (ya nini kuumia bora nile dawa)
nakesha…. (mapenzi sitaki)
kila napotarajia nitafurahia ndo n*z*sisha maumivu kwa ndani mwili umekufa ganzi…
kila pendo naloingia yanajirudia kunikatisha tamaa mnyonge mwana simanzi…
kama ningeliweza kuchagua
utotoni ningeamua
bora hata nisingeyajua
yataniua mapenzi….
sio kama siogopi kuumia tatizo nishaumia sana
mapenzi ya maharamia nikachukia ujana
kuna muda nawaza rudia tatizo nikipenda sana
ndo nafasi wanaitumia kuniumiza mchana
na usiku usingizi sipati
nakesha (usiku nalia bahati sina)
nakesha (bora pombe mapenzi sitaki)
nakesha (ya nini kuumia bora nile dawa)
nakesha…. (mapenzi sitakiiii)
Random Song Lyrics :
- kesä ja meikä - huora lyrics
- les marches & les cendres - bloody$anji & idée noire lyrics
- poltergeist - dorian grau lyrics
- my star (star star mix) - sonic coaster pop lyrics
- kount me in - anferneewc lyrics
- passing through - bryant roses lyrics
- элита общества (elita obshestva) - димдэкт (dimdekt) lyrics
- repercussions - snooze! (usa) lyrics
- outside - roy woods lyrics
- new new - 300aiden lyrics