
chocha (domani) - domani mkadinali lyrics
[hook]
hii chocha, we’ ni chocha
story za cho acha, ju ni machocha
fanya kitu moja, mi ntakuchosha
fanya kitu moja, hakuna hoja
hii chocha, we’ ni chocha
story za cho acha, ju ni machocha
fanya kitu moja, mi ntakuchosha
fanya kitu moja, hakuna hoja
[verse]
ha, ha, ha, ha, ha
uliza sish ikushow, mi ndo wa nzakwa
wa*wesh anajua mi ndo mjanja
sk*nkin’ loud, this is my show (this is my show)
ha, ha, ha, ha, ha, ha, we*we*we kwanza
unatweng joh circus ka ndogo ya mapoko na pumps
unatweng design ya soko ya mapoko na charms
hero na umenyonya white na trumps
wakadinali ka the vocals za chance
uliza scar, sewersydaa, popos around
zaidi ya boko haram (zaidi ya boko haram)
uliza scar, sewersydaa, popos around
zaidi ya boko haram (zaidi ya boko haram)
[hook]
hii chocha, we’ ni chocha
story za cho acha, ju ni machocha
fanya kitu moja, mi ntakuchosha
fanya kitu moja, hakuna hoja
hii chocha, we’ ni chocha
story za cho acha, ju ni machocha
fanya kitu moja, mi ntakuchosha
fanya kitu moja, hakuna hoja
[bridge]
ha, uliza sish ikushow, mi ndo wa nzakwa
wa*wesh anajua mi ndo mjanja
sk*nkin’ loud, this is my show
ha, ha, ha, ha, ha, we’ kwanza
[hook]
hii chocha, we’ ni chocha
story za cho acha, ju ni machocha
fanya kitu moja, mi ntakuchosha
fanya kitu moja, hakuna hoja
hii chocha, we’ ni chocha
story za cho acha, ju ni machocha
fanya kitu moja, mi ntakuchosha
fanya kitu moja, hakuna hoja
Random Song Lyrics :
- ihyayttm - david hugø lyrics
- goodbye to the blue and gold - danny saucedo lyrics
- tão perto mas tão longe - thiago gois lyrics
- don’t disown of me - evsin lyrics
- nun 2 me - summrs lyrics
- thinkin' we're in love - version française - tyler rich lyrics
- in the garden - sol paradise lyrics
- on my own - 16raheem lyrics
- apollo 1 - young pelik lyrics
- šta bi dao, lule moje - biljana jevtić lyrics