
kupe - don santo lyrics
intro
chorus
||: walahi hakai tapeli hodari :||
||: mdomoni ni tende, k*mbe ni kupe :||
verse 1
huko mjini kuna mambo, unavyoona k*mbe sivyo
wenye suti majambazi, na magari ya kifahari
kwa hivyo jichunge mwenzangu, waeza poteza mengi
kwa hivyo jichunge mwenzangu, waeza poteza vyote
chorus
||: walahi hakai tapeli hodari :||
||: mdomoni ni tende, k*mbe ni kupe :||
verse 2
leta pesa tutaifanya double, triple hata mara k*mi unavyotaka, utapata;
na k*mbe kile wanachokita sana ni kukubwaga;
hao x3 – ni wezi kupindukia;
i know x 3 – ni ngumu kuwatambua
akija na story, jipange pange; akija na vako, mrushe rushe
chorus
||: walahi hakai tapeli hodari :||
||: mdomoni ni tende, k*mbe ni kupe :||
verse 3
t’t’take care, mjini huwaga na wahuni;
utadhani muhubiri wa neno la mungu, k*mbe ni broker na kahaba
“bibilia inasema (kunja mdomo hivi x2) halafu nitawaambia wapande mbegu”
acha ukora yeye yeye yeyee, hahahahahahahaha shame on you!
chorus
||: walahi hakai tapeli hodari :||
||: mdomoni ni tende, k*mbe ni kupe :||
Random Song Lyrics :
- arrependimento - ney alves lyrics
- i love you (español) - billie eilish lyrics
- hanasich sheli - הנסיך שלי - sarit hadad - שרית חדד lyrics
- game over freesyle - bby kodie lyrics
- freestyle 4 (megamix) - finnyfromflickr lyrics
- art books - the human hearts lyrics
- ich bin caesar (kujanjuoksuversio) - laveerre lyrics
- chifor - lferda lyrics
- salta comigo - mizu lyrics
- intro - a modo nostro - bill lyrics