
nifundishe - don santo lyrics
stanza 1:
usinambie, kwa namba za huzuni;
life is but an empty dream!
kwani, nafsi ilolala ni hayati;
and things are not what they seem
bila shaka utasimama;
mumea ulopandwa kwa mto
siku yako itafika;
majani mabichi utalazwa
kuwa na roho, moyo, sura kama simba;
ipige moyo konde ufwate mwito
chorus:
nifundishe! niongoze!
kukujua wewe hekima baba!
would you be my guide my father lord
stanza 2:
waweza kuwa, yeyote unayependa;
bora uwe mwaminifu kwa rabana
there’s no shame! dontchu fear my friend;
hakuna dhambi hawezi ifuta
bila shaka una neema;
mumea ulopandwa kwa mto;
kama mlima sing’oki;
majani mabichi hunilaza
kuwa na ujanja, ari, macho kama tai;
kuwa nayo nayo, sako kwa bako
chorus
nifundishe! niongoze!
kukujua wewe hekima baba!
would you be my guide my father lord
Random Song Lyrics :
- 너에게 가는 이 길 위에서 (너.이.길) - baekhyun (exo) lyrics
- atticus - the northern folk lyrics
- burn 'em all - confess (swe) lyrics
- nime kumiss sana - ydnw dive lyrics
- vostok 1 - the tourist company lyrics
- simpleng tao - from "james and pat and dave” - zephanie dimaranan lyrics
- dno - some1 & michal.ly lyrics
- it's you! - lite_the lyrics
- at war with the world - q strange lyrics
- acalma filho - cantor andré lima lyrics