
chuku - dr xolly(bwana harusi) lyrics
intro
yoooh…
james babu on the beat..
chuku..chuku..chuku chuku chuku…x2
bwanaharusiiiiii…
verse 1
very for the day..
kwa maana ninawaza ile pesa for bata day..(bata day..bata day..)
hakuna utata nikizipata mpaka nadata na sikosei..(sikosei..sikosei..)
iwe chuku kamata buku lipa rudhuku maanake panya na buku ni wengi..(ni wengi..)
bahati ni za bukuku mimi kapuku kelele kama kasuku sipendi..
marketing local..haramu in the boko..
matembezi kila siku kwenye shopping soko..
haters ndoto..kunishika mi ni moto..
nimewaka na nimewapa mpaka majoto..
na bang bila ndula..
kiongozi bila kura..
biashara inajiuza pasipo kuleta sura..
mipango kujipanga..
iwe town ama bush na mipanga..(panga..panga..pangaa..)
bridge
day after day kichwa kinawaza pay..
nilale nikiamka kesho iwe bata day..x2
chorus
yooh..
chuku..chuku..chuku chuku chuku..
chuku..chuku..chuku chuku chuku..
nachukua naweka..chuku chuku chuku..
nachukua naweka..chuku chuku chuku..
nachukua naweka..chuku chuku chuku..
nachukua naweka..chuku chuku chuku..
nachukua naweka..chuku chuku chuku..
nachukua naweka..chuku chuku chuku..
verse 2
jeehh..jehh
nahitaji kuwa boss milele na siku zotee..
niziache zile kelele za kuniita mimi kiokotee..
nifanye mishe za mbele zile za nyuma niziache zotee..
nivuke mpaka kilele kwenye milima mabonde yotee..
unahisi umebarikiwa..
unaota ndoto za ajabu kesho unahisi umefanikiwa..
nani kachanganyikiwa..
au ni mimi na wewe ni nani atabaki kuwa mkiwa..
coz nafanya vikali ili nipungwe mahewa..
natoka madhari hatari makali niulizieni kilimahewa..
yeeeh..
naweka moko ni moko by moko kila chocho..
coz ninachokifanya kw*ngu ni ndoto hakuna msoto..
bado usafiri hatari yaani ngoko by ngoko..
bridge
day after day kichwa kinawaza pay..
nilale nikiamka kesho iwe bata day..x2
chorus
yooh..
chuku..chuku..chuku chuku chuku..
chuku..chuku..chuku chuku chuku..
nachukua naweka..chuku chuku chuku..
nachukua naweka..chuku chuku chuku..
nachukua naweka..chuku chuku chuku..
nachukua naweka..chuku chuku chuku..
nachukua naweka..chuku chuku chuku..
nachukua naweka..chuku chuku chuku..
outro
h*pol
Random Song Lyrics :
- цинично (cynically) - andrenalin lyrics
- dirt off your shoulder - cocona (xg) lyrics
- s2000 - amo (jpn) lyrics
- i got plans (freestyle) - heartbrkkidd lyrics
- zielone serce - patryk siemek lyrics
- algorithm - אלגוריתם - slimfim & mayor - סלימפים ומאיור lyrics
- scratching the surface - d.a.v. (christian rock) lyrics
- doubt - bonnie stewart lyrics
- окутавшись тьмой (shrouded in darkness) - dead nebi lyrics
- pouco papo e muito vapo!! - dj jeeh fdc lyrics