
kona - dr xolly(bwana harusi) lyrics
intro
h pol…
bwanaharusiiii…
verse 1
dr xolly
natamani usinidondoshee..uniweke kwenye pochi..
ukiniacha nikakongokee..mfano wa karoti..
nitawaza nikapombekee..bora nikose noti..
na nikipata nikasondekee..kwenye sinagogi..
katoto..tutw*nge kokoto..[aaaahhhhh]
nikikashika kanatetea…[kanateteaa]
bridge
ukifika kona eeeh..
we piga honi eeeh
wasije wakabembea..[wakabembeaaaa]
eeh nahisi wataturoga..[wataturogaa]
nahisi watakuroga..[watakurogaaa]
chorus
love me..love me..baby girl love me..love me
[uni*control niku*control x2 ]
eeeehh…
love me..love me..baby girl love me..love me
[uni*control niku*control x2 ]
verse 2
ukinimiss uni*call..[call]
umenona kama korieee..
baby girl stand*up..
napenda unavyokwenda..
ukirudi ukikaa ukichutama ndo napenda..
ajabu unavyotenda..
kuichuruzisha chemba..
kisafi kinakolea pembaa..[baby girl*ting]
nikuchape kafimboo..
dereva wako mitingoo..
unavyonipa mitindoo..
isidingoo..
songombingoo..
bridge
ukifika kona eeeh..
we piga honi eeeh
wasije wakabembea..[wakabembeaaaa]
eeh nahisi wataturoga..[wataturogaa]
nahisi watakuroga..[watakurogaaa]
chorus
love me..love me..baby girl love me..love me
[uni*control niku*control x2 ]
eeeehh…
love me..love me..baby girl love me..love me
[uni*control niku*control x2 ]
outro
city of sound..
h*pol..
Random Song Lyrics :
- new world (japanese ver.) - ateez lyrics
- fox - wildlife freeway lyrics
- sweet shop (shlump remix) - doctor p lyrics
- routine - orrionn lyrics
- madman - thatsnot._sxan lyrics
- chocolata - jul lyrics
- libéré - kratos (bel) lyrics
- back to life - jj chase lyrics
- independent thinking - moose truffle lyrics
- all time low - jaewav lyrics