yet! - dr xolly(bwana harusi) lyrics
intro
yeah…it’s your boy d.r.x.o.l.l.y (dr xolly)
bwanaharusiiiiiiiiiii…
nishangae now, mishe nazo ni kibao yeahh…
you trynna show me way but you hide your fvck map yeahh..
nishangae now, mishe nazo ni kibao yeahh…
you trynna show me way but you hide your fvck map yeahh..
roho mbaya mnazo or yet..(or yet, or yet)
i found they hate..
true friends of me they hate..(wuuw..wuww)
i found they hate yeahh..
verse
maisha yangu kwao kama movie, am still get more dj’s..
wanatafsiri wanachokijua na siwapi data niko busy..
wazima watu wana roho zao ni ngumu ngumu no easy..
nimefanikiwa sasa kazi kwenu nimepata wapi jiulizeni..
when you call me on phone bro, kuna sehemu fulani mi nakula bata..
zigzag ya maisha mixer nikaungaunga nikapata..
so why me nishindwe role myself man yoh rasta..
wana wengi wachawi sana ukipata shida they run faster..
na*change gear na*go go..
ligi kubwa si ndogo..
nimekua sasa naombeni chuki ziwe nyingi nyingi na nyodo..
tuheshimiwe vigogo..
na miili yetu midogo..
pumbavu zako unaeshindwa kutofautisha mbuzi na mbogo..
chorus
nishangae now, mishe nazo ni kibao yeahh…
you trynna show me way but you hide your fvck map yeahh..
nishangae now, mishe nazo ni kibao yeahh…
you trynna show me way but you hide your fvck map yeahh..
roho mbaya mnazo or yet..(or yet, or yet)
i found they hate..
true friends of me they hate..(wuuw..wuww)
i found they hate yeahh..
roho mbaya mnazo or yet..(or yet, or yet)
i found they hate..
true friends of me they hate..(wuuw..wuww)
i found they hate yeahh..
Random Song Lyrics :
- drones - eruption (slovenian band) lyrics
- consequence - aberrancy lyrics
- bandang pinoy - hotdog lyrics
- attica rising - attica rage lyrics
- buzzing - audien & nevve lyrics
- ella baila sola - kalimba lyrics
- e forse ne faccio due - tutte le cose inutili lyrics
- living hope - bethel music lyrics
- other side - maine musik lyrics
- the things that i used to do - john lee hooker lyrics