hunifahamu - dully sykes lyrics
[chorus]
unifahamu sikufahamu we mama iweje leo unipakazie
unieleze kwa kirefu we dada keti chini kisha unihadithie

[verse 1]
k*mbuka mapenzi hayalazimishwi, ihh
ungeniambia kuliko kunipakazia tumegombana na mama watoto w*ngu yote dada kwa ajili yako
umetumwa na nani au nieleze unachohitaji’ hii
unifahamu sikufahamu mama
iweje leo unipakazie eh
iweje leo unipakazie eh
[chorus]
unifahamu sikufahamu we mama iweje leo unipakazie
unieleze kwa kirefu we dada keti chini kisha unihadithie
unifahamu sikufahamu we mama iweje leo unipakazie
unieleze kwa kirefu we dada keti chini kisha unihadithie
[verse 2]
niambie sasa unachotaka nini
nieleze ulitumwa na nani
roho yangu waisononesha ah
kwanini hutaki kusema
sura ngeni sikufahamu wewe, nieleze tulionana wapi
siwezi kusema nguvu zimekwisha ah
nambie unachotaka nini
siwezi kusema nguvu zimekwisha ah
niambie unachotaka nini we
[chorus]
unifahamu sikufahamu we mama iweje leo unipakazie
unieleze kwa kirefu we dada keti chini kisha unihadithie
unifahamu sikufahamu we mama iweje leo unipakazie
unieleze kwa kirefu we dada keti chini kisha unihadithie
[bridge]
visa vya mapenzi ya watu’ nyoka mwenye sumu kali
sikufahamu unifahamu dada
unameza kama chatu waenda kutemea mbali
oh sikufahamu unifahamu dada

(instrumentals)
[interlude]
enhee…
wee…
mkono wa double (?)
haha
si mchezo
[chorus]
unifahamu sikufahamu we mama iweje leo unipakazie
unieleze kwa kirefu we dada keti chini kisha unihadithie
unifahamu sikufahamu we mama iweje leo unipakazie
unieleze kwa kirefu we dada keti chini kisha unihadithie
[bridge]
visa vya mapenzi ya watu’ nyoka mwenye sumu kali
sikufahamu unifahamu dada
unameza kama chatu waenda kutemea mbali
oh sikufahamu unifahamu dada
visa vya mapenzi ya watu’ nyoka mwenye sumu kali
sikufahamu unifahamu dada
unameza kama chatu waenda kutemea mbali
oh sikufahamu unifahamu dada
(instrumentals)
Random Song Lyrics :
- manière - alrima lyrics
- negotiate thankful to him but ok the go ahead and globally - mδя†ïån lyrics
- black skinhead - tribute to kanye west - black skinhead lyrics
- vu d'ici #404 - andy luidje lyrics
- habacuque 2:4 - dyego habacuque lyrics
- ja mam to co ty (wersja radiowa) - wzgórze ya-pa 3 lyrics
- carribean bird pt 1 - johnny whiteny lyrics
- questa sera - leone lyrics
- aramızda engeller - birkan nasuhoğlu lyrics
- gucci quality - lovelydiller lyrics