
kabinti special - dully sykes lyrics
[intro: dully sykes]
uh
weda malanga, uh*huh
tindwa, uh
yes
asante sana, studio 4.12
<>
prince dully sykes, brotherman
ha*ha, guess what? i’m in love, uh
chorus:
nimegundua
kabinti special
kabinti special
nimegundua
kabinti special
kabinti special
nimegundua
kabinti special
kabinti special
nimegundua
kabinti special
special for me
[verse 1: dully sykes]
ni yeye
mtu w*ngu wa karibu akiniacha na kosa raha
ni yeye
akinipa dhabibu ya moyo, na kuwa kama kichaa
ndio kale
kabinti special, mwenzenu nataka kuoa hata leo
mke w*ngu wa kesho, mwenzenu nataka ndoa
ndio kale
kabinti special, mwenzenu nataka kuoa hata leo
mke w*ngu wa kesho, mwenzenu nataka ndoa
chorus:
nimegundua
kabinti special
kabinti special
nimegundua
kabinti special
kabinti special
nimegundua
kabinti special
kabinti special
nimegundua
kabinti special
special for me
[verse 2]
ndio mie
nikupae mapenzi ya dhati na raha kila saa, mmm
usinikimbie, ‘ukanipa wakati mgumu nishindwe kulala, mmm
ndio kale
kabinti special, mwenzenu nataka kuoa hata leo
mke w*ngu wa kesho, mwenzenu nataka ndoa
ndio kale
kabinti special, mwenzenu nataka kuoa hata leo
mke w*ngu wa kesho, mwenzenu nataka ndoa
[chorus]
nimegundua
kabinti special
kabinti special
nimegundua
kabinti special
kabinti special
nimegundua
kabinti special
kabinti special
nimegundua
kabinti special
special for me
[drop]
[chorus]
nimegundua
kabinti special
kabinti special
nimegundua
kabinti special
kabinti special
nimegundua
kabinti special
kabinti special
nimegundua
kabinti special
special for me
Random Song Lyrics :
- tattoo (rauw alejandro cover) - kenny costoya lyrics
- wesson - raeusi lyrics
- seco - one path lyrics
- 별도 따준다면서 (lost stars) - ben (kor) lyrics
- heartless - jaybo sayso lyrics
- den hovedløse rytter - bisse lyrics
- validée - liza monet lyrics
- selaras - kunto aji & nadin amizah lyrics
- nwaar - layon lyrics
- roaring - arxn lyrics