
paka mapepe - east african melody lyrics
pakamapepe huyo
pakamapepe huyo
pakamapepe huyo
paka mapepe usimwandame
mapepe huyo
usimwache akujue mapepe huyo
yeye hamjue mume
mapepe huyo
mwenye fedha kwake ndume
mapepe huyo
paka mapepe usimwandame
mapepe huyo
usimwache akujue mapepe huyo
yeye hamjue mume
mapepе huyo
mwenye fedha kwakе ndume
mapepe huyo
akinenda msuk*me
tena asikusagame
mkomeshe akukome
abaki alalame
mabibi mimi niko
siku zote mume wako
hamtoi mtu kwako
fanya ufanyavyo fanya
umweke umwekavyo
nilikwisha kukukanya
huyo siwakuridhika
huyo atachanganya
huyo atachanganya
kina shangazi na kaka
tena akisha atapenya
tena kisha atapenya
na baba atamtaka
atafanya anakofanya
mwisho atakasirika
atafanya anakofanya
mwisho atakasirika
hafai huyo hafai
kw*ngu mimi nikurai
hafai huyo hafai
kw*ngu mimi nikurai
paka huyo paka paka mapepe paka
umpe kuku na bata mwisho hatatosheka
umpe jambo geni huyo paka
atakushukuru huyo paka
atakutoroka huyo paka
akimwona panya huyo paka
Random Song Lyrics :
- werewolf (freestyle) - alison brie lyrics
- i do it for hip hop - black hippy lyrics
- getting to the money - talib kweli & z-trip lyrics
- calligraphie sur porcelaine - pejmaxx lyrics
- global a go-go - joe strummer lyrics
- co czułaś kochana - krvavy lyrics
- let me in - r.e.m. lyrics
- st1m diss - billy milligan lyrics
- sou mato-grossense - dino franco e fandangueiro lyrics
- puppet strings - eradicate lyrics