
champion - ebebé jamal lyrics
yeah… ah.!
yeah..!
mongi records
yoh..
n*z*saka pay,mtu mzima bila mashaka
pumzi ndogo route ndefu hizi mbio huwezi kufata
wanaodelay, niko bless sina mashaka
niko fit mpaka noma soma somo elimu pata
i am free, hazinifungi hizi sifa za mpito
uvumulivu 1st class na ninahimili mikito
nipo imara, i am from the ghetto
imbia mademu machizi watasema
i am free, sasa kwanini nisizisake na
nikizishika nitatumia wacha wadate
nikitaka kuhesabu nitawaita waje washangae na
najua wanatamani waje wanivamie
hawajui naishi kwa timing
nafanya niskish*tuka naghaili na
najua maisha mzunguko wa tairi na
sumni hawaipati wacha waniite bahiri
zamani walisema nina fearness
baadae wakasema nipo careless
no i am paper chaser
now i am paper chasing
leo wananiita champion
zamani walisema nina fearness, “fearness”
baadae wakasema nipo careless,”careless”
no i am paper chaser , “paper chaser”
now i am paper chasing, “paper chase”
leo wananiita champion
mmh..! mmh..! mmh..! mmh..!
wanaponidiss nakuwa bubu, bubu
neno langu kama lulu, lulu
wacha walete gugu, gugu
kwenye store nipo full, full, full, full
moto wa gesi na si wakifuu
maneno yao machafu nayanukuu
hapa kazi tu ndani ya magufuri
true, true ,true ,true, true
this is for the money, it is not because of you
lete fujo tukuitie f.f.u
we push to the limit and this is how we do
one for the money, two for the show
three for my momy, you already know
i say, one for the money, two for the show
three for my momy, you already know
zamani walisema nina fearness
baadae wakasema nipo careless
no i am paper chaser
now i am paper chasing
leo wananiita champion
zamani walisema nina fearness, “fearness”
baadae wakasema nipo careless,”careless”
no i am paper chaser , “paper chaser”
now i am paper chasing, “paper chase”
leo wananiita champion
this is how we do on our side
ndula g baba mc ndulla g
i get my boy ebebé
yo g*nius whats up n*ger
Random Song Lyrics :
- i'll feel a whole lot better (alternate version) - the byrds lyrics
- distortion, please - backstabbers incorporated lyrics
- go (live) - hillsong united lyrics
- la noia che abbaia - mc bbo lyrics
- i'm in the mood for dancing - the nolans lyrics
- demons - psytrus lyrics
- you're the top - 2011 broadway cast of anything goes lyrics
- flashbacks - cassow lyrics
- my own self - aristotle p. lyrics
- begin - the morning of lyrics