lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mabawa - edward's okoth bryan (ethan muziki) lyrics

Loading...

[verse 1]
ukiwai jiuliza, sababu zangu kukupenda
kalamu gani haitaisha, kitabu gani sitajaza
nimebarikiwa miujiza, vitu tunaonea si mema
kama ushai jiuliza
wacha nijaribu kuzisema

[bridge]
si urembo tu, ama tabasamu
ni vile unajibeba, vile unajiweka
sijui kaa unajua, vile unaniinua
unanifanya mtu bora

[chorus]
na unanipa mabawa
unanipa mabawa
unafanya nikuwe sawa
mapenzi yako mabawa
ni kila kitu

[verse 2]
ni vile wewe huongea, kwa utaratibu
na tukikosana, tunatafuta jibu
na tena unapenda kuona nikishinda
unanisherekea, nyota zangu un*z*linda
[bridge]
si urembo tu, ama tabasuma
ni vile unajibea, vile unajiweka
sijui kaa unajua, vile unaniinua
unanifanya mtu bora

[chorus]
na unanipa mabawa
unanipa mabawa
unafanya nikuwe sawa
mapenzi yako mabawa
ni kila kitu

we unanipa mabawa
unafanya niwe sawa
mapenzi yako mabawa
ni kila kitu

wawa wawa wawa
mabawa wawawa
wawa wawa wawa
mabawa wawawa

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...