lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

niangalie - edward's okoth bryan (ethan muziki) lyrics

Loading...

aah
aah
aah
aah (mmh, mmh)

[verse 1] [kethan & wanavokali]
kuna wenye vitabu
kuna wenye hesabu
wengine tulibarikiwa sauti na kalamu
ninavyojijua, huwa napenda hadi mwisho
kwa yale machache najivunia
moja ni kukuita w*ngu, ooh*ooh

wengi walifanya nikadhani sitawahi kupenda
ila wewe umenionyesha, ninaweza kupendwa
na wengi wakasema eti sitawahi weza kuweza
ona vile tunaishi hii life bila pressure

[pre*chorus] [wanavokali]
kama unataka, penzi lisiloisha
niangalie, niangalie
mi ninapo*kuona, naona maisha
niangalie, niangalie

[chorus] [kethan & wanavokali]
nia* nia*, nia* nia*
niangalie, niangalie
nia* nia*, nia* nia*
niangalie, niangalie (niangalie)
[verse 2] [kethan & wanavokali]
we wa thamani kuliko shaba
ningetamani nikuite lover
hakuna jambo linaloweza
kunitеnganisha na penzi lako
unachotaka umekipata
utapokwenda nitakufuata
i will always bе yours
you will always be mine
till the end of time

[bridge] [wanavokali]
na*aah*aah*aah*aah, nakupenda
na*aah*aah*aah*aah, nakupenda

[pre*chorus] [kethan & wanavokali]
kama unataka penzi lisiloisha
niangalie, niangalie
mi ninapo*kuona, naona maisha
niangalie, niangalie

[chorus] [wanavokali]
nia*, nia* (aah*aah*aah*aah)
ooh niangalie, niangalie
nia*, nia*, ooh (nia* nia*, aah*aah*aah*aah)
niangalie (aah, nakupenda)

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...