watakuumiza - elja eks lyrics
Loading...
ozay b*tch
ice sengen
watch gang. watch young gang
[verse 1: ice sengen]
unaye mwamini anaweza kukuacha
unaye mpenda anaweza kukuacha
maisha ni siri hakuna waku yelewa
ila ninachotaka tu kukwambia
we pambana utafika kwenye ndoto
utafika kwenye ndoto
kuna wakati watu
[bridge]
watakuumiza x8
[verse 2: elja]
ngoja kwanza. jiangalie
so kila kikaacho ni dhahabu
unao wapenda wawo awakupendi
unao watakia mazuri wawo ni mabaya tu
ya layali ya layala
wanatamani sana
kukufanizia mabaya tu
furaha yao nikukuona we uteseke
furaha yao wawo walele
[bridge]
watakuumiza x8
Random Song Lyrics :
- arabesque - leviathan (usa) lyrics
- depression meme - rew lyrics
- bejo de sodade - bana (cpv) lyrics
- 70 needles - melany castt lyrics
- flingues et roses - ichi (gva) lyrics
- brain blast - jimmy neutron (feat sheen, penelope) lyrics
- if u knew - enuria lyrics
- fantasma - mk92 lyrics
- hey boy (dance mix) - the cheeky girls lyrics
- candle - ceekraider lyrics