
quarantei - ethic entertainment lyrics
(sanitizer, sanitizer)
ah, mi hukata makale naongeza na barley
ka nina maganji ju niko quarantine
quara quarantine, quara quarantine
quara quarantine, quara quarantine
eh! wuhan kulikuw*nga na corona
busaa tukaisunda kwa mogoka
dunda tutacheza tu na distance
dunda tukacheza tu na di
ye hutoboa ka amevuta koro
mi humochoa ka amedunga polo
buda ng’oa hapo utatoka ndung’u
k*mdondoa town kudunga njongo
ah, mi hukata makale naongeza na barley
ka nina maganji ju niko quarantine
quara quarantine, quara quarantine
quara quarantine, quara quarantine
wengi wanakutaka wanakutaka
bro w*ngu anakutaka, maarif
hadi bro wako anakutaka
unaeza pata hadi babako yukutaka
ndio sasa nikiwa hapa naomba namba
sina hata bia kaza kamba
za gwanda ulisha ni ganga
tugeuzane baba na mama
ah, mi hukata makale naongeza na barley
ka nina maganji ju niko quarantine
quara quarantine, quara quarantine
quara quarantine, quara quarantine
ndakupikianga fare ndatumanga
alafu magizani jua ndak*manga
msupa wa kiw*nga cheki amebebanga
si kidimanga hawezi kupanganga
baro ikiwaka pandisia adi kaka
form kujipanga nitoke kwa dimanga
mapenzi ni ya ulaya wa area ni malaya
mapenzi ni ya ulaya wa area ni malaya
ah, mi hukata makale naongeza na barley
ka nina maganji ju niko quarantine
quara quarantine, quara quarantine
quara quarantine, quara quarantine
sani*sanitizer, buy sanitizer
sanitizer, buy sanitizer
(sanitizer, sanitizer)
Random Song Lyrics :
- who dis? - jane handcock lyrics
- θα τα καταφέρω (tha ta katafero) - bloody hawk lyrics
- painkiller(s) - papikeepitrill lyrics
- ip - без слов (текст песни) - ip lyrics
- lipstick - boys don't cry lyrics
- don't feel alive - lil andi lyrics
- joe dassin - hornet la frappe lyrics
- que pasa - riffi lyrics
- vibes on me - statue beats lyrics
- nothing but you - devault lyrics