
aye - fitzon dai lyrics
intro
endever classic
fitzon dai beiby
aaah,changamka starz music
verse
nashukuru mungu hata mwaka huu
nimepitia mengi nikikula huu
ila sikujali nilikuwa juu,k*mbe imani yangu bado ipo juu
ee*eh walisema hii walifunga debe
eti mwaka huu,eti ni wabebe
kila siku mungu awajenge,na maisha bila mungu ivo unapembe
hook x2
anything you do, anything were were
god forbid,now niko well well
kama sita do,jua siko fiti
na maisha bila mungu jua siko well well
chorus x2
ayeeeeh,injili ngilivi aye
nomkwano kwo aye
aaah kukona aye
verse
god bless me,god bless family
you think big when you have family
cheers now hi lovely
eti ping*pong ping happily
nimetoka far,nimetoka ghetto
na micasa au na mikeso
see me now soweto
nasikia walipitia mateso
hook x2
wacha qatar hapa ni misifa
mi kupata sip lucifеr
hapa masaa ya kusikika na mungu azidi kupewa sifa
chorus x2
ayeeeeh,injili ngilivi aye
nomkwano kwo aye
aaah kukona ayе
outro
sometimes you need to check on this
god’s love
fitzon dai made it
Random Song Lyrics :
- u'll never glo - boy froot x j-mix x maxdaddy lyrics
- #antichristcypher - arakari lyrics
- bonhomme - deluxe lyrics
- grindtime - lucky meech lyrics
- 2l - ali sorena lyrics
- steal the scene - danger twins lyrics
- café com leite - luan santana lyrics
- nights in white satin - full version - the moody blues lyrics
- caroline - circo de marvin lyrics
- everyday thang - jay capone lyrics