
mama interlude - fivara lyrics
Loading...
[verse]
asante kwa kunihifadhi tumboni miezi tisa
huo ni upendo wa dhati, mama yangu siwezi ficha
ilipofika, tarehe ishirini na tano mwezi wa tisa
ukanileta duniani, lako penzi maisha
kama sijengi nyumbani basi sijengi taifa
umenifunza majuk-mu ndo mana sipendi sifa
umenionya kuna huk-mu ndo mana sipendi visa
maadili mema, ukanipa bible sio vilevi shika
akili njema, “mwanangu shule kweli fika”
“jitume watakili wenyewe we kweli kichwa”
umenifunza, “hofu ya mungu chanzo cha maarifa”
kujiongeza muhimu, mwanao mawazo naalika
pia ukaniambia nisibague na nisidharau
upole kiasi muda mwingine ni kinyang’au
umenifunza hakuna biashara bila dau
na kazi ikiwa halali unaifanya tena ya kila dau
Random Song Lyrics :
- nur du (snippet) - naseeb lyrics
- letters - merrick lyrics
- loco x ti - silencio blanco lyrics
- somethings got's to give - equivalence lyrics
- embrace the fear - dracco lyrics
- top - roukas lyrics
- afterglow - luna li lyrics
- high notes - skeme lyrics
- one month later - john ramon lyrics
- una vez más... - petit ribery lyrics