
fareed kubanda - getta lyrics
(chorus)
waambie saa hii ndo sisikii kabisa
am sticking to the script
call me fareed kubanda
(fareed kubanda)×2
i be sticking to the script
call me fareed kubanda
(verse 1)
am the sh-t,huwezi kaa
bora uinuke
still doing this,toka lini
wala sik-mbuki
msela kanuna,ey
getta anatuna,ey
me just tryna get mine,ey
that’s why siwezi kudema
mikazo mwa-mwi kusanda no
mpaka siku ya sanda bro
natapika na sijaugua
tungi nalo sijatungua
kila beat utayonipa namanua
(namanuaaa)
mashairi yanasambaa
juu ya hizi pam-pam-pam,aisee
usitake shindana na me
sio mzaramo but usibishane na me
cruising through the hood bila beto
dose yangu nzito nini mseto
kimeshawaka bila paper
music be my night and my day job
(verse 2)
getta is an uptown upanga boy
vibe zangu ziko up panga boi
sticking to the script sijing’oi
ey ey ey sijing’oi
nimevurugwa zaidi ya kichaa
huwezi pata picha
nataka vyangu njia pisha
getta gotta get it man
nawarusha bila umeme
nitapenya muda huu my man
yuugggh yuugggh yuugggh
kukuru kakara zako zitakuponza bwana we
hatuna papara ukija kichwa kichwa
yatakukuta we
getta mbona unachelewa
am on my way n-gga
muda unakukimbia ey
si unaona niki jog n-gga
am thinking and aiming bigger
njia imejaa mambwigwa
wanabania ata five figures…
(chorus)
waambie saa hii ndo sisikii kabisa
am sticking to the script
call me fareed kubanda
(fareed kubanda)×2
i be sticking to the script
call me fareed kubanda
Random Song Lyrics :
- one way or another - 400 pounds of punk lyrics
- the betrayal - black label society lyrics
- main chali main chali - lata mangeshkar lyrics
- parsec - abiku lyrics
- the philospher's stone - robyn hitchcock lyrics
- на амазонке (on amazon) - big russian boss & young p&h lyrics
- strung out - strung out lyrics
- vinnie's hooch - johnny socko lyrics
- obsession - sins in vain lyrics
- mr. impatient - after romeo lyrics