
kidege - gilad lyrics
siku moja siku moja nitapanda mti mrefu
nitakaa kileleni niimbe kama ndege yeah
itakuwa sawa mmm
siku moja siku moja nitapanda mlima mrefu
nitakaa kileleni niimbe kama ndege yeah yeah yeah yeah
and it will go like this
singing fly kidege changu fly
we’re up here in the sky you & i
inawezekana this is why yeah
fly kidege changu fly
we’re up here flying high you & i
inawezekana this is why yeah
wo oh yeah yeah yeah mmm
siku hizi nafurahi tu wakati ninakua nawe
tuimbe nyimbo za mapenzi yeah
na tuko sawa sawasawa
nimeshatua kileleni, moyoni amani
mbawa hazijanifeli, siachi asilani
utamu wa stafeli, puuza yao kejeli
itakuwa sawa sawasawa yeah
fly kidege changu fly
we’re up here in the sky you & i
inawezekana this is why
fly kidege changu fly
we’re up here in the sky you & i
inawezekana this is why yeah
wo oh yeah yeah yeah
siku moja siku moja nitapanda mlima mrefu
nitakaa kileleni niimbe kama ndege yeah yeah yeah yeah
and it will go like this
fly kidege changu fly
we’re up here in the sky you & i
inawezekana this is why
fly kidege changu fly
we’re up here flying high you & i
inawezekana inawezekana
yeah inawezekana inawezekana
Random Song Lyrics :
- can't take it - lowkeygreatness lyrics
- iambecomedeath - the virus & antidote lyrics
- tête de nœud - java lyrics
- only pac can judge me - thugz mansion lyrics
- prove me wrong - green kanvaz lyrics
- locomotiva - frații grime lyrics
- get it right - malcolm london lyrics
- repulsive boy - reg mason lyrics
- make it messy( just like messi ) - faceless memoir lyrics
- midwest blues - my sweet fall lyrics