
angela - govice lyrics
Loading...
nimeamua sio siri tena
yaliyo moyoni acha niseme
hakika moyo ukipenda
kama ni pombe niache nilewe
miaka rudi miaka nenda
ninachoomba omba nipewe
ninakuita mama angela we
nayempenda ni wewe
you’re the reason am working so hard
kwenye giza umenipa furaha
umenipa mimi pa kukaa
kwenye moyo wako
uwe dawa n’shaakupata
wanimaliza dance ‘kikata
umenipa nachotaka
you’re the one that i love and i want
angela ooh angela
niko tayari kwenda jela
sababu yako ma’ fela
unanipa’ga sleepless night
angela ooh angela
niko tayari kwenda jela
sababu yako ma’ fеla
unanipa’ga sleepless night
Random Song Lyrics :
- lykkelig ulykkelig - john olav nilsen & gjengen lyrics
- зажигалка (lighter) - rekudo lyrics
- dynamic duo - frak lyrics
- 3rd degree - griminal lyrics
- romance - anthony jeselnik lyrics
- humor linyera - bersuit vergarabat lyrics
- from the top - oddisee lyrics
- chillin wit da girls - c-weav lyrics
- chỉ là - trang pháp lyrics
- sinister mind - psychoactive lyrics