
wivu - govice lyrics
Loading...
aliumba dunia
kawaumba binadam
kayaumba na mapenzi
akaumba hisia
kamuumba awa na adam
toka enzi na enzi
vipi akikupa jina
nami n’kawa sina
hotelini dina oh
vipi akikupa jina
nami n’kawa sina
hotelini dina oh
nina wivu
mi nina wivu oh
nina wivu, na wivu, na wivu oh
nina wivu
mi nina wivu oh
nina wivu, na wivu, na wivu oh
na mkipost picha
instagramu status
hasira zanipanda juu
unapendeza sio kwa picha
shepu linajificha
sauti nzuri kama ya zuuh
vipi akikupa jina
nami n’kawa sina
hotelini dina oh
vipi akikupa jina
nami n’kawa sina
hotelini dina oh
nina wivu
mi nina wivu oh
nina wivu, na wivu, na wivu oh
nina wivu
mi nina wivu oh
nina wivu, na wivu, na wivu oh
Random Song Lyrics :
- honestly - kali flower lyrics
- yam lavan - ים לבן - noar shulaim - נוער שוליים lyrics
- never fade away - troy kurek lyrics
- otaqbichi - yungboiloreto lyrics
- good little dictation machines - terrance zdunich lyrics
- шкаф купе 2 (shkaf kupe 2) - bain228 lyrics
- royal flush - limbö lyrics
- recuerdos - ll negar lyrics
- sunday is coming (acoustic) - phil wickham lyrics
- i'm still here - derek webb lyrics