
usipite - guardian angel lyrics
Loading...
usinipite mwokozi, unisikie
unapozuru wengine, naomba usinipite
yesu! yesu! naomba unisike
unapozuru wengine, usinipite
ukiita peace, nitapata, joh nitapata
ishi vile unataka, vile unataka
bila wewe nitasuffer, oh nitasuffer
mi taka ulipo, ndio mi nataka tuu kukaa
kiti chako cha rehema, nakitazama
magoti napiga pale, nisamehewe
nakutegemea kwa … mola w*nge, mola wanje
wanifariji duniani na mbinguni, ewe mola wanje, mola waje
nitapata maono ukiingilia kati, maisha yange, maisha yange
usinipite
Random Song Lyrics :
- what a life - big sean & hit-boy lyrics
- chill 'n fresh - louis lyrics
- electric lady - falana lyrics
- dernière danse - ikkem lyrics
- moorhuhn kart - artur drobnik lyrics
- the dog and his master - john wozniak lyrics
- стика (stick) - thrill pill lyrics
- ana - gülyanaq məmmədova lyrics
- raise my glass - wonk unit lyrics
- bond - atlas gray lyrics