
hakutaki - haitham kim lyrics
hakutaki
hakutaki, eeeeh
iiiih, ondoka zako
uuuuh, umeachwa
hakutaki, we nenda zako
simu unapiga, hapokei, yupo busy
unamuita hatokei, yupo busy
siku inaisha, hamuongei, usimuulize
ila kwenye mapenzi, hakuna u busy
cha kujisumbua sumbua we, utajiua bure
unayempenda hakupendi, hisia zipo kwa yule
wanapika na kupakua, walianza toka shule
unabaki una cry, don’t trust anybody
basi hana mood, hana time
usimghasi ye hana shida na wewe
basi hana mood, hana time
usimghasi ye hana shida na wewe
aah, hakutaki, eeeeh
iiiih, ondoka zako
uuuuh, umeachwa
hakutaki, we nenda zako
mi mwenzako niliachika, nilihuzunika
nikasema yote ya dunia hayakai yanapita
guvu ya kusaka pesa, nikaongeza
nikala, nikapendeza
nikasema no matter, waah aah
sina cha kupoteza
mi hanitish*tishi, wala hanibabaishi
kunipenda hiyo vipi
mi aniache, sirudii matapishi
kakupangusa, wachaaa
we mpanguse, wacha wee
si kakususa, usimtafute, na we msuse
chiki chiki chiki chiki g
chi chi chi
mteme kama big g
chi chini chi
chiki chiki chiki chiki g
chi chi chi
mteme kama big g
chi chini chi
hakutaki, eeeeh
iiiih, ondoka zako
uuuuh, umeachwa
hakutaki, we nenda zako
hakutaki, eeeeh
iiiih, ondoka zako
uuuuh, umeachwa
hakutaki, we nenda zako
Random Song Lyrics :
- catgirl anthem - kittydog lyrics
- 明け方の迷子 (akegata no maigo) - vigor man lyrics
- kol haderech habayta - כל הדרך הביתה - mooki - מוקי lyrics
- mr. a. jones - juicy lucy lyrics
- our fights - little carl lyrics
- dam życiu szanse - igneush lyrics
- obvious - dark station lyrics
- fuck police - lam knight lyrics
- dog - loretta miller lyrics
- pensando en el dream - last-dude lyrics