
i love you - haitham kim lyrics
baby nipende mimi
mwingine ni wa nini?
najua umeshaniweza
penzi lisiwe la siri
wewe wa kw*ngu mimi
kwako nimeshatawaza
kulala peke yangu mwenyewe mwenzio siwezi
kitanda cha kw*ngu mwenyewe usingizi sipati
katu katu bila wewe tupige mkasi
basi sogea karibu tupate marashi
kifuani kwako huwaga mie bila shaka nijilalie
ua langu linukie
basi njoo uwe na mie
pepo yako ya kw*ngu mie
hata kidogo tupeane
mimi nawe hatuwezi farakana
wenye hila watazidi kuandamana
najua tu hawana maana
tumependana bado tukiwa vijana
sio wa juzi hata tena mwaka jana
mimi nawe tunaеlewana
i love you baby, i love you baby
i lovе you baby, i love you baby
i love you baby, i love you baby
baby hatuwezi kuachana
tuwakomeshe wanaojua gubu
tushaanza fanana wenye majungu kwetu maruf*ku
tupo mpaka kiama tunawezana utamu wa supu
hata wenye mjadala na penzi letu watawashwa upupu
ma baibe, my love
ma baibe,my love
mimi nawe hatuwezi farakana
wenye hila watazidi kuandamana
najua tu hawana maana
tumependana bado tukiwa vijana
sio wa juzi hata tena mwaka jana
mimi nawe tunaelewana
i love you baby, i love you baby
i love you baby, i love you baby
i love you baby, i love you baby
Random Song Lyrics :
- east vs west - 42 dugg lyrics
- moonlight love - buju banton lyrics
- talk like that - love death & agriculture lyrics
- devil in disguise - yung panda lyrics
- pablo - yungpvndv lyrics
- waiting for my real life to begin - little voice cast lyrics
- tinted glasses - maggie schneider lyrics
- richtung mond - jhony kaze lyrics
- hour of the worm - denial of god lyrics
- vapula omega - enthroned lyrics