
sema - haitham kim lyrics
Loading...
we ndo ulifanya najiuliza
wapi napata wakuntuliza
nafsi ya moto hupuliza
penzi ni moto ukaniunguza
bila kujali kama nami ni binadamu
imenipotea hamu
ila kihali salama nakula vitamu
usijesogea kw*ngu
tena fata yako njia ya kawaida
sito come sito come kwako na
shida sina ya kupendwa na weii
uu baby
no no no shida sina hamu sina kitu cha kuagiza wala cha kuhongwa na weii
nilikuuliza kama nafaa au sifai sema
ungenieleza kama sifaiiii kuwa wako
Random Song Lyrics :
- lügner - avy (deu) lyrics
- calamita d'oro - claudio villa lyrics
- movie scene - væb (isl) lyrics
- true love - trap boi echo lyrics
- hot raviolis - rx papi lyrics
- al colegio no voy más - tokyo town lyrics
- najwyżej w tym - deseo2x lyrics
- we varbin" - exother-mic lyrics
- imaji - localitit lyrics
- bala perdida - pgj lyrics