
ananichora - haitham lyrics
Loading...
[verse1]
muda mwingine nakuhisi kama wale wale
moyo ukauchimba n’a kuuacha tambarareeeee
don’t you see nakupambania ulale ule ulaleee
k*mbe ndo mlivo wanaume wa leo
ninachoitaji unipe love nashangaa umenimix kwenye collaboo
ka roho kananiendaa juu
nikijishusha bado nakula za mbavu
[chorus]
aah k*mbe ana ni choraa ananichora
mwenzenu ananichora
bila aibu ananichora
[verse2]
wajibu w*ngu kupata banana
halua nimpatiee
n’a huwa namkiss akilala lakini sawa n’a bure
penye yangu mapungufu mi ananichocha
nakuniweka hadharani
n’a pâle napomwitaji ye mwenzangu anataka dola
[chorus]
aah k*mbe ana ni choraa ananichora
mwenzenu ananichora
bila aibu ananichora
Random Song Lyrics :
- solace - riverkinn lyrics
- something physical - the pursuit of happiness lyrics
- do it - djiggy lyrics
- sablier - alkpote lyrics
- lost soul - swagger de rapper lyrics
- chasca - ojete calor lyrics
- manticore - emerson, lake & palmer lyrics
- power ranger - l$d (rapper) lyrics
- don't worry bout it - kodie shane lyrics
- bounce out with that (remix) - rno shaikh lyrics