somewhere else - hannymoon lyrics
Loading...
even when i’m with you
i’ve been looking for some loving
somewhere else
ukiwa hapa mbona sikuoni
sina machozi lakini na*worry
wasichana haba hadi nairobi
piga mahaba hadi sijioni
mapenzi mapya kila napoenda
ma*shorty wote pia wanapenda
bangi na pombe kila siku leta
leta kwa wingi tunapata pesa
nikiwa nawe bado natafuta
haya mapenzi maji na mafuta
ukienda bebi pia mwingine kuja
usipochunga mie sitakuwa
even when i’m with you
i’ve been looking for some loving
somewhere else
Random Song Lyrics :
- 4 chords songs mashup - amasic lyrics
- you can dance - chilly gonzales lyrics
- blue angel - various artists lyrics
- the holy one - mark schultz lyrics
- waiting for you - unlike pluto feat. joanna jones lyrics
- sería rock - sin querer queriendo lyrics
- the things i say - joanna newsom lyrics
- volver a sentir - critika y saik lyrics
- 2016 - make-believe lyrics
- via dolorosa - marina de oliveira lyrics