best couple - harmonize lyrics
[intro]
bomboclaat
(cough)
[verse 1 : harmonize]
honey, sweetie, baby
jina gani linakufaa
nikuite mpaka kufa
my own, je t’aime mon bébé
jina gani la pekee
nikuite wewe pekee (iyee eeh)
nishajifanya ukibuni
kugombana na weee
ila kipimo changu cha huzuni
mtu anafanane na wee
umaanufu, pesa changamoto
ukiwa navyo ungali mtoto
kukuoa we ni kama ndoto
nahisi kama nimeshinda
na nilicho gundua…
[chorus : harmonize]
couple yetu inabamba
ooh yabambaa
hata liwake, inyeshe mvua
ni name sambamba
ohh sambamba
wewe ni w*ngu mamaaa
couple yetu inabamba
ooh ina bambaa
tuombe dua
mimi na wewe sambambaa
ooh sambambaa
bomboclaat
[verse 2 : rudeboy]
eeeh, there’s something about you
girl, i can’t live without you
there’s no secret inside you
when i’m standing beside you
you are my beautiful onyinyee
eh eh, ifeomame
i’m feeling you everyday
iyee eh, chiomame
na you make me fall in love
obimooo ohhh
antic*p*te your special touch
obimooo ohhh
if i could define the way i feel
kuja kwako wee, eeh
e makwana ife dinma gana di
finally on the way
ichoro erapu ndi nwa
[chorus: harmonize]
couple yetu inabamba
ooh yabambaa
hata liwake, inyeshe mvua
ni name sambamba
ohh sambamba
wewe ni w*ngu mamaaa
couple yetu inabamba
ooh ina bambaa
tuombe dua
mimi na wewe sambambaa
ooh sambambaa
[bridge : harmonize]
a’udhu billahi min ash*shaytaan in*najeem
hata tukikesha club, asubuhi tuko gym
nampenda tena namuheshimu
mkata shombo, ukipenda muite ndimu
[outro : harmonize]
bomboclaat
mamacita
te quiero
mi amor
Random Song Lyrics :
- intro - vip lyrics
- all good things must come to an end (feat. nauq) - kill_swxtch lyrics
- castle in the sky - lil nuzzi lyrics
- thoughts on happiness - steeld lyrics
- because of you / let me love you - plvtinum lyrics
- me 2 - ré lxuise lyrics
- i swear - fresh prince of nc lyrics
- why’s up? - the manor lyrics
- trust - 6akari lyrics
- bird box - yhung sky lyrics