
furaha - harmonize lyrics
[intro]
bomboooclaaat
kimambo on the beat
aahhhh
konde boy, call me number one
[verse 1]
ya dunia mengi
leo nimegundua utofauti
kati ya raha na furaha
do you know that?
hii dunia inamambo
eti k*mbe kuna utofauti
kati ya raha na furaha
[pre*chorus]
mhh, kale ka distance
baby sikuoni
eti nikajiona nisha move on
utadhani na*enjoy
pombe zimenichosha, nipo hoi
dunia ina siri
sio kila anayekula raha
moyonj mwake anafuraha, eeeh
lord have mercy
[chorus]
nish*gundua furaha yangu ni wewe
kule nilipata raha
ila nkagundua
furaha yangu ni wewe
kwa wengine nitajisumbua
furaha yangu ni wewe
hata siku nikifa, naomba unizike wewe
mimi na wewe, weewe
[verse 2]
siri ya nini, oooh
acha nikwambie
moyo w*ngu unatamba nao
na wasikutishie wengine
wanautaka wao
ni lazima waichukie
hii couple siyo levеl zao
asubuhi tukigombana
usiku ndo wapatanao
[pre*chorus]
mhh, kale ka distance
baby sikuoni
eti nikajiona nisha move on
utadhani na*еnjoy
k*mbe zimenichosha, nipo hoi
dunia ina siri
sio kila unayemuona bar
moyoni mwake anafuraha
lord have mercy
[chorus]
nish*gundua furaha yangu ni wewe
kule nilipata raha
ila nkagundua
furaha yangu ni wewe
kwa wengine nitajisumbua
furaha yangu ni wewe
hata siku nikifa, naomba unizike wewe
mimi na wewe, weewe
[outro]
yoooh, yooh
it’s konde boy
call me number one
bakhresa, aah
konde music worldwide
mamasitaaa
tekero tyokara
mi amore
Random Song Lyrics :
- gucci mane - yung sarria lyrics
- gremlins crawl - shannon & the clams lyrics
- all about the art (this time from the heart) - jory canfield lyrics
- set it off - james doe lyrics
- say they do - tru heru lyrics
- silhouette - yeseo lyrics
- say it loud - g.e.m. lyrics
- the way you do (acoustic) - dalton rapattoni lyrics
- vs mcz [4tel-finale - hos 2013] - ceno.cuba lyrics
- index on the oval - sinai vessel lyrics