
tuna tamba nae - harmonize lyrics
samia ni wetu sote
tunatamba nae
samia ni wetu sote
tunatamba nae
mama samia ni wetu sote
tunatamba nae
samia ni wetu sote
tunatamba nae
acha waseme mchana
usiku watalala
acha waseme mchana
usiku watalala
acha waseme mchana
usiku watalala
acha waseme mchana
usiku watalala
za upole tabia
hivi ni nani kama samia
ona anavyotuhudumia
halali kugufikira
samia ni wetu sote
tunatamba nae
samia ni wetu sote
tunatamba nae
raisi wa wanyonge
samia
mchapakazi
samia
kama unawivu kajinyonge
samia
ila ukweli upo wazi
samia
samia ni wetu sote
tunatamba nae
samia ni wetu sote
tunatamba nae
mama samia ni wetu sote
tunatamba nae
samia ni wetu sote
tunatamba nae
waite wabara visiwani
zanzibar, unguja na pemba
nataka niweke hadharani
nimechoka kuyaficha chemba
alambee
alambee mama
alambee
alambee
alambee mama
alambee
alambee
alambee mama
alambee
alambee
alambee mama
alambee
mama samia
tumlete
tumk*mbatie
tumbusu
ccm
walete
tuwak*mbatie
tuwabusu
wapinzani
walete tuwakatekate
tuwatupe
samia ni wetu sote
tunatamba nae
samia ni wetu sote
tunatamba nae
raisi wa wanyonge
samia
mchapakazi
samia
kama unawivu kajinyonge
samia
ila ukweli upo wazi
samia
samia ni wetu sote
tunatamba nae
samia ni wetu sote
tunatamba nae
mama samia ni wetu sote
tunatamba nae
samia ni wetu sote
tunatamba nae
alipo mama tupo
samia
vijana tupo
samia
alipo mama tupo
samia
wazee wapo
samia
alipo mama tupo
samia
bodaboda tupo
samia
alipo mama tupo
samia
wajasiliamali tupo
samia
samia ni wetu sote
tunatamba nae
alambee
Random Song Lyrics :
- f.t.f. - faux vng lyrics
- lejos - jere lyrics
- bloemetje - danny de munk lyrics
- impermanence - major parkinson lyrics
- tainted love - ed cobb lyrics
- een lied voor kinderen - dana winner lyrics
- gonna give it to ya - aaron hall lyrics
- j'crois pas en l'homme - nakk mendosa lyrics
- the way - trace of lime lyrics
- body party (remix) - david gibson lyrics