
x - harmonize lyrics
[verse 1]
nani kasema x w*ngu ana enjoy?
nani kasema anapata raha?
hivi nani kasema x w*ngu ana enjoy?
nani kasema anapata raha?
nikimwona *n*lewa, namuelewa anajiona kachelewa, age go
na bado haj*pewa
viuno alivyopewa, anajiona kachelewa, age go
ohhh… uuhhh… ohhh!
[chorus]
nani kasema x w*ngu ana enjoy?
nani kasema anapata raha?
hivi nani kasema x w*ngu ana enjoy?
nani kasema anapata raha?
never!
[bridge]
vanamahako, twende kwalidu kula nikatamwa, nguyopa chalidu chila
vanamahako, twende kwalidu kula nikatamwa, nguyopa chalidu chila
[verse 2]
(mh) ibiza, miami, mbali haj*pelekwa hata zanzibari
hapo kizimkazi aka enjoy low budget dubai hatoboi
anasikitisha x, kama embe la mti wa porini
anajipitisha x, amekosa wa k*muweka mjini
nikimwona *n*lewa, namuelewa anajiona kachelewa, age go
na bado haj*pewa
viuno alivyopеwa, anajiona kachelewa, age go
[chorus]
nani kasеma x w*ngu ana enjoy?
nani kasema anapata raha?
hivi nani kasema x w*ngu ana enjoy?
nani kasema anapata raha?
never!
[bridge]
vanamahako, twende kwalidu kula nikatamwa, nguyopa chalidu chila
vanamahako, twende kwalidu kula nikatamwa, nguyopa chalidu chila
[outro]
aaahhh… bomboclaat!
it’s konde boy, call me number one!
bakhresa
ahhhill
konde music worldwide!
eh! sik*mpenda tu, nilimtukuza
nikala bata bila k*mchunguza (babe)
mambo madogo akayakuza
eti kisa upendo akaniburuza
Random Song Lyrics :
- dubbs party! - warren christian lyrics
- do not distrub remix - dre lorde lyrics
- i won’t back down (tom petty cover) - pop etc lyrics
- on & on & on - caamp lyrics
- am i too far gone? - insomniacs lyrics
- barracuda, capital of the world - oceana (band) lyrics
- lyrical athletics - g-therz lyrics
- curiosidad - juhn lyrics
- fed to the dogs - sponge lyrics
- it's a groovy world - unifics lyrics