
sala zangu - ilagosa wa ilagosa lyrics
sala zangu lyrics
(sala zangu zote naelekeza kwako e mungu w*ngu
unisikie bwana, unikaribie leo)×2
sala zangu zote naelekeza kwako e mungu w*ngu
nilipokuwa kwenye shida ulinik*mbuka bwana
dunia iliponigeuka ukawa upande w*ngu
niliposhindwa na maisha ulikuwa upande w*ngu
dunia iliponigeuka ukawa upande w*ngu
maombi yangu yote bwana naleta mbele zako
na sala zangu zote natoa mbele zako
(unisikie bwana unikaribie leo
sala zangu zote naelekeza kwako e mungu w*ngu)×2
dunia yote ni yako bwana
wewe ndiwe muumbaji
tukimbie wapi kama wanadamu tuepuke mauti
ndipo nainua macho kuelekea bwana
msaada w*ngu wote leo watoka mbele zako
maombi yangu yote naleta mbele zako
na sala zangu zote naleta mbele zako
(sala zangu zote naelekeza kwako e mungu) ×2
unisikie bwana, unikaribie leo
sala zangu zote naelekeza kwako e mungu w*ngu
unisikie bwana unikaribie leo
sala zangu zote naelekeza kwako e mungu w*ngu
unisikie bwana unikaribie leo
sala zangu zote naelekeza kwako e mungu w*ngu
(miguuni pake yesu
mimi nimejiachia
nifundishe nifinyange
kama vile upendavyo)×2
unisikie bwana unikaribie leo
sala zangu zote naelekeza kwako e mungu w*ngu
unisikie bwana unikaribie leo
sala zangu zote naelekeza kwako e mungu w*ngu
Random Song Lyrics :
- delişik - paraklit lyrics
- room (sketch) - low island lyrics
- zéro - 100 blaze lyrics
- laivat - knipi lyrics
- suelta te quiero ver - amaro (pr) lyrics
- portishead - wens lyrics
- 我爱学习 (i love studying) - 西红 (xihong) lyrics
- a minha maior criação - papyrus da batata lyrics
- kua buaru - calema lyrics
- well done - amne7ia lyrics