
nakuwazaga - isaadmusic lyrics
Loading...
ukaribu mi na we
masiara yetu yaligeuka utani
kuwa nawe daily
ndio kitu niliwazaga
na imani tele
imenijaa ndani
kwamba sina mpinzani
kuwa nami wewe
ndio kitu hukutaga
aah, eeh, iiih
ooh, uuh
aah, eeh, iiih
ooh, uuh
ujue nakuzawaga
bado nakuwazaga
bado natakaga
wewe
sinaga na mbadala
sita mie ndio saba
wewe ndio nakutaka
wewe
nakuzingatia wewe
sina nia na wengine
nakutazamia we
aah, eeh, iiih
ooh, uuh
aah, eeh, iiih
ooh, uuh
nakuzingatia wewe
sina nia na wengine
nakutazamia we
bado nakuwazaga
Random Song Lyrics :
- like i should - nøtinvain lyrics
- milkshake - alfons lyrics
- se me olvidó - kapla y miky lyrics
- i love you but i love me more (bonus track) - svea lyrics
- under the bridge - flatsound lyrics
- a single thread - flatsound lyrics
- everything alright - solo margiela lyrics
- slow motion - randolph lyrics
- beerus - ksi & randolph lyrics
- pretty ribbons and lovely flowers - bibio lyrics