
mrembo - isanganative lyrics
Loading...
mzuri anapoongea anapendeza akisikiliza
she’s fine anapolala usiku unakiza
ana*shine asubuhi ni mrembo akiamka
her beauty’s divine akinuna mpaka nashtuka
hey miss how can u be this cute
girl you so sweet kuwa nawe sijuti
hata ukinuna bado unavutia
you got fire ukichukia ndo maana nakuzimia
nikupoze mtima mama zali tumepatana
sitaki kukudanganya najua tutakosana
annah naungama nishatenda wasichana
niliumia nilipotendwa nikaumiza sana
bado napona moyo umevunjika siwezi shona
maumivu kila kona yanapoa napokuona
tha luv i feel seeing you smile
heals me inside wallah no lie
makes me alive i found a new life
just to share hili penzi nawe and if
down with me i’ll take higher than kili mt
top of the world tuishi wote kileleni
Random Song Lyrics :
- fall apart - shaggy 2 dope lyrics
- seasons bloom - kacy hill lyrics
- a culpa é do papato - papatinho, l7nnon & orochi lyrics
- whaur camp - caroliner lyrics
- speak freestyle | la leakers freestyle #116 - speak lyrics
- rapid crew (can't move me) - 2 mello lyrics
- bro bro - mad 283 lyrics
- and the eulogy read!? - grip lyrics
- dopamine - fat dolsk & pancho lyrics
- meant it - tedonthebeat lyrics