
nakusaka - it'sbill lyrics
eh
a*ha
(on the beat kama kawa)
[intro: k. hashi]
kamami mi nataka kupa
kila kitu, mi natupa
kamami mi nataka kupa
kila kitu, mi natupa
[chorus: elvin ega]
oh
niko juu ya handas baby
nikikuita unalenga baby
nikikutaja unarun away we
‘taka nifanye nini my baby
nami nami niko rada
nakusaka
nakusaka
mami, nami niko rada
nakusaka, nakusaka oh
[post*chorus]
unashangaa kwa nini nakufuata
unashangaa kwa nini nakusaka
ni wewe tu ndio nataka
ni wewe tu ndio nasaka
unashangaa kwa nini nakufuata
unashangaa kwa nini nakusaka
ni wewe tu ndio nataka
ni wewe tu ndio nasaka
[verse 1: k. hashi]
msupa siku mob nakufuata fuata
fine girl toka pa*na*ma
na ipo siku moja nitakupata pata
venye we ni mtamu oo*la*la
you can be my shawty ama baby ma*ma
bana bana bana
ni we (msupa)
ni we (msupa)
ni wewe (msupaaa)
ni we (msupa)
ni we (msupa)
ni wewe (msupaaa)
[pre*chorus: k. hashi]
kamami mi nataka kupa
kila kitu, mi natupa
kamami mi nataka kupa
kila kitu, mi natupa
[chorus: elvin ega]
niko juu ya handas baby
nikikuita unalenga baby
nikikutaja unarun away we
‘taka nifanye nini my baby
nami nami niko rada
nakusaka
nakusaka
mami, nami niko rada
nakusaka, nakusaka oh
[post*chorus]
unashangaa kwa nini nakufuata
unashangaa kwa nini nakusaka
ni wewe tu ndio nataka
ni wewe tu ndio nasaka
unashangaa kwa nini nakufuata
unashangaa kwa nini nakusaka
ni wewe tu ndio nataka
ni wewe tu ndio nasaka
[bridge: k. hashi]
kamami mi nataka kupa
kila kitu, mi natupa
kamami mi nataka kupa
kila kitu, mi natupa
[verse 2: nick d the rapper]
kamami mi nataka kupa
kila kitu hadi nivunje mifupa
uko fit ka ile label ya puma
hao wengine ni sura tu za chura
girl you’rе my, you’re my forever
plеase come and stay with me
girl you’re my, you’re my forever
please come and stay with me
please come and stay, ay
please stay with me
Random Song Lyrics :
- giri giri - 新しい学校のリーダーズ (atarashii gakko!) lyrics
- clown suit - k-odd-ik lyrics
- танато - слахи 95 lyrics
- addio - lim ji eun (임지은) lyrics
- simple - skinny (electronic) lyrics
- why flowers grow through cracks in the pavement - alera lyrics
- despedida - lil whind lyrics
- puerto mogán - matt lyrics
- my heart it's not a reflection for you - fabio santos menezes lyrics
- nature's love song - mashmakhan lyrics