
nikumbuke - jackie praise lyrics
[intro]
eeeeeehh………
[verse 1]
yesu, yesu w-ngu, naomba, unik-mbuke
machozi yangu, yamekuwa mengi
naomba yesu, uyapanguze
[chorus ]
nik-mbuke, nik-mbuke yesu
nik-mbuke eeh, nik-mbuke…
mi naooombaa
nik-mbuke, nik-mbuke yesu
nik-mbuke eeh, nik-mbuke…
mesiaaah……
nalia nik-mbuke
[verse 2]
usiku, silali kam we
sababu yesu, ya shida nyingi
majaribu yamenizidi aah, naomba yesu nisaidie
usipokuja mwokozi, nitashindwa mimi babaa, nik-mbukeeee…
[chorus ]
nik-mbuke, nik-mbuke yesu
nik-mbuke eeh, nik-mbuke…
nik-mbuke, nik-mbuke yesu
nik-mbuke eeh, nik-mbuke…
…..
[verse 3]
ninakiri, sitabaki katika hail hii yesu w-ngu (nik-mbuke)
umeahidi yesu hautaniacha kamwe, kama yatima (nik-mbuke)
maana wewe u mwaminifu sana, ahadi zako yesu ni amina…
yesu eeeh
(nik-mbuke eeh, nik-mbuke….)~~~~~
Random Song Lyrics :
- talk too much - cruise & loh lyrics
- empty days - seventh dimension lyrics
- polski scenariusz - 003 lyrics
- porpora - soulcè & teddy nuvolari lyrics
- kill it - d-boii lyrics
- wrath of caine - vonte sean (loco giovanni) lyrics
- diggin' up hatchets - shayfer james lyrics
- kiedy wstanie świt - gospel lyrics
- rendevouz - dise lyrics
- ikijibiki - radwimps lyrics