
bojo - jay melody lyrics
[verse 1]
shoroa shemeyi, wameniosha mikono
sinyora mazai, mpendwa mshono
na hata akinuna, inapendeza midomo
suti na tai, kabambe kwa promo
[pre*chorus]
kama pweza, chokochoko
hatari kwa toto
ana mwendo kokoko
ah, raha dunia
kama pweza, chokochoko
hatari kwa toto
ana mwendo kokoko
ah, raha dunia
[chorus]
iwe bojo
iwe, ma iwe
iwe bojo
iwe
[verse 2]
mami mami, unanikosha roho
zile nje ndani, ulicho nacho
kama twende juve, tukazuge zuge
na mbungani, tuone koboko
niimbe tenzi, kwa hisia ya kudekezana
utaratibu, ikuwe kimoko
kama tupo mavuroko
mjeledi huku, ndimi zikigusana
kwa wambeya, bonge la dongo
wacha wajinyonge
[pre*chorus]
kama pweza, chokochoko
hatari kwa toto
ana mwendo kokoko
ah, raha dunia
kama pweza, chokochoko
hatari kwa toto
ana mwendo kokoko
ah, raha dunia
[chorus]
iwe bojo
iwe, ma iwe
iwe bojo
iwе
Random Song Lyrics :
- ponte salvaje - sped up - iamtra$h lyrics
- salade de fruits - sameer ahmad lyrics
- бам-бам (bam-bam) - местный (mestnyy) lyrics
- love in the dying world - 6vamp lyrics
- فضى (phantom xx interlude) - ousama + khalid lyrics
- grosse manon - les shimmeux lyrics
- dicknail ( live at club lingerie) - hole lyrics
- heart broke many times - el snappo lyrics
- mona lisa moan (agressive kansas remix) - krgkgm lyrics
- matrix - havier daivon lyrics