
katika - jay melody lyrics
[intro]
(instrumentals)
[?]
once again
[verse 1]
sifa zake kila kona
mimi nimezisikia
natamani k*muona
machache k*muambia
kweli nimetembea
sijawahi ona kama yeye
sifa anazogewa mpaka nijionee mwenyewe
mwenye uzuri wa macho
ako wapi tumuone?
huko nyuma kafungasha
ako wapi tumuone?
atuoneshe alichonacho, ako wapi?
(tumuone)
kiuno anavyo kata, ako wapi?
(tumuone)
katika, (kata)
katika, (kata)
katika, (kata)
kiuno
katika, (kata)
katika, (kata)
katika, (kata)
kweli, kua uyaone
hii dunia ina mengi
sasa nimeshaelewa
kwanini vijana hatujengi
ukistaajabu ya musa, utayaona ya firauni
yaani kama anasusa
anavyo cheza kihuni
nyuma alivyoal angusha
udambwi, dambwi, zigo nyangumi
yaani kama anasusa
mwenye uzuri wa macho
ako wapi tumuone?
huko nyuma kafungasha
ako wapi tumuone?
atuoneshe alichonacho, ako wapi?
(tumuone)
kiuno anavyo kata, ako wapi?
(tumuone)
katika, (kata)
katika, (kata)
katika, (kata)
kiuno
katika, (kata)
katika, (kata)
katika, (kata)
katika, (kata)
amekupa mama (kata)
wala si cha kuazima (kata)
kiuno chako mwenyewе (kata)
eh
mguu moja (kata)
kama unainama (kata)
[?] una tetemesha (kata)
amеkupa mama (kata)
kiuno chako mwenyewe (kata)
ka mix lizer
Random Song Lyrics :
- fuga pa cali 2 - grupo los de la o lyrics
- happy - chu'bad lyrics
- pdm - ashh lyrics
- trago seu amor de volta (live) - pabllo vittar lyrics
- sic semper tyrannis - rambuk lyrics
- rhymes with love - rayhan nadhif lyrics
- eremita del fuoco - blaze of sorrow lyrics
- lucid dreaming (wrld of lies) - cyber 4-2-0 lyrics
- gt - 556zoo lyrics
- beautiful - lil hoxe lyrics