
kiguu na njia - jay melody lyrics
[intro]
anhaaaa anhaaa
onhooohho once again
onhooo
[verse 1]
walisema mapenzi dawa, ohoh
ila kwako nilipata ugonjwa, ah
ukanilisha bila kunawa, oohoh
madharau hukua na uoga
ndo maana nimekukata
nimekuzimia taa
mwenye roho ya paka
usiye wahi ridhika
mapema nilijua
mbali hatutafika
kipi kinakuwasha?
mbona wahangaika, anhaa
[pre chorus]
habari zako nimezisikia mbali
yamaanisha wewe kiguu na njia
unazunguka kusambaza vidosari
hakuna baya mimi nilokufanyia
[chorus]
watia tia unga
wasaga saga rumba
yako yamekushinda
ya kw*ngu kuyachunga, wewe
watia tia unga
wasaga saga rumba
yako yamekushinda
ya kw*ngu kuyachunga, wewe
[bridge]
ona nanananah
ono nonononoh
ona nanananah
onaaaaaaah aah
[verse 2]
sasa natulia jinsi napatiwa raha za dunia (acha iyo)
an*z*ngatia tabasamu langu nisije kulia (acha iyo)
na tena fundi wa mapenzi amejaaliwa (acha iyo)
kajawa hisia, mahaba asilimia mia, onhoo
ulitaka nikongoroke, oooh
niwe hoi yani nichoke, aah
kwenda huko wewe cha wote, oooh
huna jambo, huna lolote, aaaah
[pre chorus]
habari zako nimezisikia mbali
yamaanisha wewe kiguu na njia
unazunguka kusambaza vidosari
hakuna baya mimi nilokufanyia
[chorus]
watia tia unga
wasaga saga rumba
yako yamekushinda
ya kw*ngu kuyachunga, wewe
watia tia unga
wasaga saga rumba
yako yamekushinda
ya kw*ngu kuyachunga, wewe
[outro]
ona nanananah
Random Song Lyrics :
- ships that don't come in - hixtape & joe diffie lyrics
- we rats - dreamcar lyrics
- candu - syahiba saufa lyrics
- reality fantasy - ホロライブファンタジー (hololive fantasy) lyrics
- head over heels in love with you (live) - porter wagoner lyrics
- make it stop - the valla lyrics
- all the same - milanosport lyrics
- kou (絞) - deathpair lyrics
- oh yeah - jani lane lyrics
- en la pichi interlude - young miko lyrics