mikogo sio - jay melody lyrics
[intro : jay melody]
eeh eeeh aaah aaah oooh ooh
charles clinton
mmh hmmm
[verse 1 : jay melody]
wakati we ukiwa na mimi unajishaua
mashauzi mengi kujishebedua
najiulizaga kwanini unasasambua
mpaka kwa marafiki aibu
[pre chorus : jay melody]
basi niambie wewe kama unataka jina
kwa ajili yako nafanya mwenzako nikose heshima
vipi nikuelewe eeh au bado unapima
maji ya shingo utaniua mama umezidi kina
[chorus : jay melody]
unataka kiki sio? (aah eeh)
iyo mikogo sio (aah eeh)
utakuja kunifelisha mwenzako sama*han
unataka kiki sio? (aah eeh)
iyo mikogo sio (aah eeh)
utakuja kunifelisha mwenzako
[verse 2 : dogo janja]
niliamini unanifaa we ndo mamaa
asaa iweje unapagawa na ustaa
zuku bambataa bolingo charangaa
nilizicheza kwenye giza kwenye taa
ujue mi bila we nafeli (aaah)
ona nakonda kideli (ooh kideli mama)
[verse 3 : jay melody]
na mambo unayofanyaga ndo yanafanya nipagawee
ujue mi najua kwako niko mwenyewe
na k*mbe mazigizaga maporomoko ya mawee
unavonifanyiaga ndo balaa
[pre chorus : jay melody]
basi niambie wewe kama unataka jina
kwa ajili yako nafanya mwenzako nikose heshima
vipi nikuelewe eeh au bado unapima
maji ya shingo utaniua mama umezidi kina
[chorus : jay melody]
unataka kiki sio? (aah eeh)
iyo mikogo sio (aah eeh)
utakuja kunifelisha mwenzako sama*han
unataka kiki sio? (aah eeh)
iyo mikogo sio (aah eeh)
utakuja kunifelisha mwenzako
Random Song Lyrics :
- my woman - shawn antoine lyrics
- mantra - żabson lyrics
- blood letter - aesxp lyrics
- perth freestyle - devilman lyrics
- speed by - trehnt, dom, & j-kronic lyrics
- härifrån - prins daniel lyrics
- make me worse (muzzy remix) - kings of the city lyrics
- sushi hen - סושי חן - lukach - לוקץ׳ lyrics
- for what it's worth - no hope lyrics
- this christmas eve - ryan stevenson lyrics