
mtoto - jay melody lyrics
[intro]
oooooh…
jay once again…
[verse 1]
ilikuwa kula, kusoma, kuchezaa
vingine nlivyo tamani kuvipata vililetwa
nawala sikudhani hizi siku zitafika
sikuwa na mashaka aitae na miaka
[pre*chorus]
now nimekuwaa, nimetambuwa
utuuzima dawa, sio mauwaa
leo natamani nisingekuwa
utuuzima dawa, sio mauwaa…
[chorus]
bora zamani nlivyo kuwa mtoto
aaaah zamani nlivyo kuwa mtoto
bora zamani nlivyo kuwa mtoto
aaaah zamani nlivyo kuwa mtoto
[verse 2]
unaaaaa…
kuwa uyaone, niliambiwa
duniani inamengii sanaaa
usione mtu kainama huu
wasakatokee wanapambania
hapa mgeni lawamaa
tena kuna mda unaumia sana huuu
[bridge]
ilikuwa rahisii huko nyuma
rahisi sanaaa
time hizi nizamu yangu
kupambana hata nikimiss
hakuna jinsi, vile ntafanya
mungu ni bariki riziki yangu
fungua milango
[pre*chorus]
now nimekuwaa, nimetambuwa
utuuzima dawa, sio mauwaa
leo natamani nisingekuwa
utuuzima dawa, sio mauwaa…
[chorus]
bora zamani nlivyo kuwa mtoto
aaaah zamani nlivyo kuwa mtoto
bora zamani nlivyo kuwa mtoto
aaaah zamani nlivyo kuwa mtoto
Random Song Lyrics :
- fixa teus olhos em mim - vocal livre lyrics
- brains out - tezatalks lyrics
- созвездие (constellation) - slame lyrics
- hot16challenge - igorpowie lyrics
- win - karlla naynna lyrics
- bí mật - trung tự lyrics
- влюбился по уши (love is denger) - forever a child lyrics
- sigo acá - ljx tatox lyrics
- tell me - jozi lyrics
- on the drums - tony levin lyrics